
Spika wa
Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo
Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi
za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam leo juu ya
mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu unaotaraji kuanza leo katika ukumbi
wa Karimjee na kufunguliwa na Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa.

Spika wa
Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam jana juu ya
mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu unaofanyika ukumbi wa Karimjee.
Wengine kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Amantius Msole, wabunge wa EALA kutoka Tanzania Twaha
Taslima na Shy Rose Banji
Mbunge wa
Bunge la Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Wabunge kutoka Tanzania,
Adam Kimbisa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika ofisi za
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam leo, juu ya
mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu unaofanyika ukumbi wa Karimjee.
Kushoto ni Spika wa
Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo
Zziwa,wabunge wa EALA kutoka Tanzania, Twaha Taslima na Shy Rose Banji.
PICHA ZAIDI --FATHER KIDEVU BLOG 

Post a Comment