Drogba alisaidia nchi yake katika upatanishi baada ya mgogoro wa kisiasa
Mchezaji soka maarufu wa Ivory Coast Didier Drogba, ametangaza kustaafu kutoka katika soka ya kimataifa.
Alishiriki kombe la dunia mara tatu na mashindano ya kombe la Afrika mara 2
Amesema kuwa anajivunia kusaidia nchi yake kufika katika nafasi hiyo kimataifa.
Drogba alipigia debe kumalizika kwa mgogoro wa kisiasa na pia kuhimiza pande zilizozozana kupatana.
NA MPENJA
Post a Comment