Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri.
Kocha
Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa
Simba. Kocha huyo ambae aliwahi kuwa kocha wa Timu hiyo ya Msimbazi
hivi sasa kashafika Katika Klabu ya Wekundu wa Msimbazi yenye makao
makuu yake Mtaa wa Msimbazi, Jijini Dar Es Salaam akitokea Uwanja wa Ndege.
Post a Comment