Muigizaji wa filamu Tanzania Jokate Mwegelo ambaye pia ni Miss Tanzania no.2 wa mwaka 2006 anaonekana tayari amepata mpenzi mpya baada ya kupost picha inayoonekana katka mtandao mmoja wa kijamii akiwa na mwanaume mmoja jina halijatambulika haraka wakiwa kimahaba zaidi.
Wiki iliyopita Jokate
ambaye pia ni mtangazaji wa Channel O, mwanamuziki na designer alisema
yupo single na anatafuta husband material.
Post a Comment