Waswahili
wanasema penzi ni kikohozi..na ukitaka mapezi ya siri basi fanya na
bubu.....hehehehe Hiyo yote ni misemo tu...TURUDI KWENYE KICHWA CHA
STORY.
Baada
ya mtikisiko wa penzi lake na msanii mwenzake wa bongo movie, mwanadada
Johari kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Domozege imebaini kwa kipindi
tofauti ameweka picha mbili tofauti akiwa na mwanaume na kuandika
maneno ambayo yanawachanganya sana followers wake...ambao
kwakiasi
kikubwa walikuwa wakitaka fafanuzi zaidi ....... lakini Johari hakujibu
comments za followers wake..hiii ikapelekea followers wake wajiongeze
na kuamini kuwa huyo ndio atakuwa mpezi mpya wa Johari..
Sasa nimekuletea na wewe msomaji wangu uzionepicha hizo na useme ni yupi atakuwa amerithi shamba....
Post a Comment