Wizara
ya mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kuwatangazia wananchi na wadau wote
kuwa anwani ya Wizara imebadilika na sasa inaandikwa kama ifuatavyo:
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
9 Barabara ya Ohio,
S.L.P 9223,
11483 DAR ES SALAAM.
9 Barabara ya Ohio,
S.L.P 9223,
11483 DAR ES SALAAM.
Imetolewa na:
Isaac J. Nantanga
MSEMAJI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
MSEMAJI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Post a Comment