Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliyevaa kofia akipita juu ya
Mzani mpya wa Vigwaza Mkoani Pwani ambao ni wa kwanza na wakisasa zaidi kujengwa
nchini Tanzania ambao utaruhusu magari
kupima bila kusimama hivyo kuondoa malalamiko kutoka kwa wasafirishaji.
Mhandisi
kutoka Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Ndugu Kileo akimuonesha Waziri wa
Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli jinsi Mzani mpya wa Vigwaza
utakavokuwa ukipima magari wakati yakitembea tofauti na mizani mingine nchini.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kushoto akitoa maelezo kwa Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu ujenzi wa Mzani mpya
uliopo Vigwaza Mkoani Pwani ambao unapima magari wakati yakitembea.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kuhusu Mzani mpya
unaopima magari wakati yakitembea Vigwaza mkoani Pwani
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kazi ya ujenzi inayofanyika katika Chuo Kikuu cha Muhimbili
kilichopo katika eneo la Mloganzila Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Dkt. Magufuli alipita hapo mara baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya Kiwango
cha Lami kutoka Kibamba kwenda Kwembe hadi Makondeko yenye urefu wa Kilometa 17
nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wa Kibamba
mara baada ya kufanya mkutano kuhusu mradi wa ujenzi wa wa barabara ya Kiwango cha Lami kutoka Kibamba
kwenda Kwembe hadi Makondeko yenye urefu wa Kilometa 17 nje kidogo ya Jiji la
Dar es Salaam
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya
Wakanadarasi wakati wa ziara yake yakutembelea na kukagua ujenzi wa barabara ya Kiwango cha Lami kutoka Kibamba
kwenda Kwembe hadi Makondeko yenye urefu wa Kilometa 17 nje kidogo ya Jiji la
Dar es Salaam
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Kibamba
kuhusu ujenzi wa barabara ya Kiwango
cha Lami kutoka Kibamba kwenda Kwembe hadi Makondeko yenye urefu wa Kilometa 17
nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
Taaswira
ya Mzani mpya wa Vigwaza kama unavyoonekana
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe akizungumza na Meneja wa Wakala
wa Barabara mkoa wa Dar es salaam Mhandisi Julius Ndyamukama kuhusu ujenzi wa
Barabara ya kiwango cha Lami kutoka Kibamba-Kwembe hadi Makondeko yenye urefu
wa Kilomita 17
Post a Comment