Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana wakati
akiwasili katika ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa
Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu
cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akiwasili wa ufunguzi wa Kongamano la
Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi
Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni
Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati akiwahutubia kwenye ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda mti matunda aina ya Shokishoki, kwa kumbukumbu baada ya
kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya
Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha
Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Professa wa Chuo cha Sokoine, Ally Aboud,
kuhusu ufugaji wa njia raihisi na gharama nafuu wa Samaki baada ya
kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya
Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha
Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na
OMR.
Picha ya pamoja.
Post a Comment