|
Mbunge
wa Bunge Maalum la Chiku Abwao akizungumza na waandishi wa habari
kukanusha habari za kujisajili katika orodha ya wajumbe wanaoshiriki
vikao vya kujadili rasimu ya Katiba mjini Dodoma katika bunge
maalumlinaloendelea hivi sasa na viako vyake na kudai taarifa hizo si za
kweli leo katika ukumbi wa habari za bunge mjini dodoma
|
|
Mbunge
wa jimbo la Mpanda Kati (Chadema) Said Arfi akijisajilli katika orodha
ya wajumbe wanaoshiriki Bunge la Rasimu ya Katiba mpya mjini Dodoma
wakati hivi sasa bunge hilo linaendelea na vikao . Kulia ni Mfanyakazi
wa Bunge Jamhuri ya Muungano,Lweli Lupondo.
|
on Friday, August 8, 2014
Post a Comment