Mechi
ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.
Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa mabao 3-2. Wafungaji Simba: Maji Marefu (11) na Yusuf Gogo (3). Yanga: Idrissa Kitwana (7), Ahmed Ngwali (11), Mark Tanda (2).
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga akishangilia.
Mtanange ukiendelea.
Mbunge wa
Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua
jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa
mabao 3-2 dhidi ya Simba leo.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa Yanga.
Mwigulu Nchemba akiwarushia skafu yake mashabiki wa Yanga.
Ridhiwan Kikwete akishangilia ushindi wa Yanga dhidi ya Simba.
Hekaheka wakati wa mtanange huo.
Mashabiki wakifuatilia mtanange huo.
Timu zikiingia uwanjani.
Ridhiwan akiwapa hi mashabiki.
Waamuzi wakiingia uwanjani.
Kikosi cha Yanga kilichokwaana na Simba na kuibuka na ushindi wa 3-2.
Kikosi cha Simba kilichopigwa 3-2 na Yanga.
Mwamuzi Othman Kazi akiongea na manahodha wa Yanga na Simba (Wabunge).
Mechi ya wabunge
mashabiki wa Simba na Yanga iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 imemalizika kwa
Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Wafungaji Simba: Maji Marefu na Yusuf Gogo. Yanga: Idrissa Kitwana, Ahmed Ngwali na Mark Tanda.
Post a Comment