Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWILI WA JAJI LEWIS MAKAME WAWASILI NYUMBANI KWAO MUHEZA, TANGA .... KUZIKWA LEO TONGWE



Mwili wa Jaji msatafu Lewis Makame umewasili Muheza nyumbani kwake Kata Mbaramo jana saa tatu usiku nakupokewa na wananchi wakiongozwa na viongozi wa serikali wakiongozwa na mkuu wa wilaya Muheza Mh.Subira Mgalu.


Leo kuanzia saa nne asubuhi jumamosi itaanza ibada katika kijijini kwa kata ya Tongwe eneo la Masimba na kuzikwa hapo kwao Kijijini majonzi makubwa yametawala hapa muheza kutokana na kifo hichi cha ghafla na marehemu ilikuwa Leo jumamosi walikuwa wanafanya sherehe za kanisa katika kijiji cha Kiwanda na matayarisho yote alikuwa ameshatayarisha mwenyewe na flana za sherehe hizo za kanisa alikwisha tengeza lakini mwenyezi mungu ndio mpangaji wa kila kitu leo hii analetwa kwa ajili ya mazishi?

Chanzo: Makame Seifu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top