Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais wa Zanzibar Dk.Shein akutana na Diaspora wa Zanzibar Ikulu


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazanzibari wanaoishi   nchi za nje (Diaspora)  wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi mbali mbali (Diaspora)wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
 Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora)wakiwa katika chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
 Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora) wakichukua chakula walichoaandaliwa na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
 Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora) wakichukua chakula walichoaandaliwa na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
 Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi  Nchi za nje  (Diaspora) wakiwa katika chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya chakula alichowaandalia  Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje  (Diaspora)  katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Mshauri wa Rais  Ushirikiano wa Kimataifa, Uwekezaji na  Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kutoa hutuba yake kwa Wazanzibari wanaoishi  Nchi za nje  (Diaspora) aliowaalika chakula cha mchana leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Bi Hafsa Hassan Mbamba kwa niaba ya Wazanzibari wanaoishi  Nchi za nje  (Diaspora) akitoa neno la  shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   kwa mwaliko huo na kutoa pongezi kwa jitihada zinazo chukuliwa na Mheshimiwa Rais na Serikali yake kwa ujumla,baada ya hafla ya chakula katika viwanja vya Ikulu, Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top