Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga
lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji
cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma leo. Inadaiwa dereva wa lori hilo
alikufa.
VOA Express
1 hour ago



Post a Comment