Imetokea Mitaa ya Coco Beach DAR
Imetokea
pande za COCO BEACH kuna JAMAA bana aliiba NDINGA kwa BI MKUBWA wake
akaenda nalo BEACH alipofika kwa mbwembwe akamkabidhi DEMU wake aendeshe
kumbe DEMU hajui KUNYONGA bana si akalipandisha milimani kule kwa mwedo
wa kasi akashindwa kufunga breki akaliangusha toka juu mlimani mpaka
chini kwenye yale maporomoko.
Kwa
sasa DEMU yupo MUHIMBILI ICU kaumia vibaga sana na mchizi nae kavunjika
MKONO wa kushoto sa sijui alikua anataka kulizuia NDINGA kwa mikono
daaaah Mbwembwe hazifai.
Bi
mkubwa alipovutiwa waya alifika fasta eneo la tukio na alipoliona
NDINGA lake lipo kwenye hali ya UCHAPATICHAPATI aliangua kilio kama
kafiwa na mumewe.
NB: Imewekwa kama ilivyotumwa.
CREDIT:GONGMIX
Post a Comment