SAFU hii
mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya
mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao
mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti
Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye
binti mrembo kuliko wengine.
Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria,
Goodluck Jonathan. Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na
mitandao kwamba ni mrembo.
Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa
Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni
kutokana na mambombalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni
Sifa Joseph Kabila
Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.
Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.
Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni
Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta. Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto,
pia anaongoza kwa kuwa na marafiki wengi wa kike.
Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.
Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta
Museven. Amefunga ndoa. Mitandao inamtaja ni binti aliyetulia ndiyo
maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa.
Post a Comment