Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MASANII WA BONGO FLEVA SHETA ATOA YA MOYONI ALIKUTANA NA MAMA KAILA KWENYE MISELE!


Msanii wa Bongo Fleva Shetta akiwa ndani ya ofisi za  Global.

WASANII WENGI WAMEMSAHAU MWENYEZI MUNGU, NI KAMA HAWANA DINI, MSIKITINI WALA KANISANI HAWAPAJUI. JE, WEWE SHETTA NI MMOJAWAPO? JOEL LUHWAGO, DAR, 0752775325

Shetta: Mimi nina dini yangu na huwa sikosi msikitini.ALIYEMVUTIA
Shetta ni nani aliyekuvutia kuingia kwenye gemu la muziki ingawa staili ya uimbaji wako inafanana na msanii Black Rhino? Euro, Dar, 0719192910
Shetta: Nilivutiwa na wasanii wengi sana wa zamani kama Profesa Jay na wengine kibao.
NJE YA FANI
Hivi Shetta mbali na muziki unajishughulisha na nini? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
Shetta: Ninafanya biashara.
MAFANIKIO
Shetta kiukweli wewe ni msanii mzuri kunako gemu la Bongo Fleva, je, unazungumziaje mafanikio yako kuhusiana na muziki tangu ujikite miaka minne iliyopita swahiba wangu? Salim Liundi, Dar, 0659601205
Shetta: Maisha ni mazuri na mafanikio yapo mengi ikiwa ni pamoja na maisha yangu kubadilika kutoka chini nilikokuwa mpaka hapa nilipo sasa.
Mke wa Shetta (mama Kaila) akiwa na Kaila.
UKIMYA
Kaka nakubali sana muziki wako na ninaumia sana unapokuwa kimya kwa muda mrefu, nini kinachosababisha ukimya kwani sisi bado tunapenda kukusikia ukiwa hewani. Mangacn, 0762141910
Shetta: Mbona niko hewani kila siku sema wewe hufuatilii muziki wangu.
KUHUSU DAU
Shetta eti uliwahi kuweka dau na jamaa kama Yanga itashinda mechi na Simba ukaliwa pesa mlipofungwa na Simba? Muddy Madiley, 0652672805
Shetta: Kweli.
NDOA ALFAJIRI
Nakukubali sana Shetta, eti ni kweli ulifunga ndoa saa kumi na moja asubuhi? Kwa nini ulifunga muda huo? Kachuru, Hedaru, 0654731328
Shetta: Ilitokea tu nikafunga ndoa muda huo na ndiyo ilipangwa hivyo.
MTOTO WA POLISI?
Hivi ni kweli Shetta wewe ni mtoto wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar? Sulleman, 0716672686
Shetta: Hapana.
ANAMFAHAMU
Ninavyokujua Shetta uliwahi kukaa Kota za Ilala, nyumba zenu zimejengwa maghorofa. Msomaji, 0715500626
Shetta: Ndiyo.YEYE NA MKEWE
Nakukubali sana Shetta, kwa mara ya kwanza ulikutana wapi na mama mtoto wako (Mama Kaila). Msomaji, 0659868893
Shetta: Asante kwa kunikubali, mama mtoto wangu nilikutana naye kwenye misele tu.
ETI ANA MTOTO NJE?
Eti baba Kaila una mtoto nje ya ndoa yako? Rehema, Dar, 0656015992
Shetta: Sijawahi kuzaa mtoto mwingine zaidi ya Kaila.
VIPI MWANAYE?
Vipi kuhusu mwanao, je, utapenda awe msanii kama wewe? Msomaji, 0787336128
Shetta: Mwanangu akiwa na kipaji atakuwa msanii.
ASICHOPENDA
Shetta wewe ni msanii na upo kwenye gemu la muziki, ni kitu gani ambacho haukipendi kikutokee katika maisha yako au muziki wako? Rachel Simon, Mbeya, 0766120552
Shetta: Sipendi kushuka ndiyo maana ninafanya muziki kwa bidii.
FAMILIA, MUZIKI
Ukiwa ni mwanamuziki tena una familia unapata changamoto gani kwa jamii inayokuzunguka? Derick Waluya,Dar, 0652047905
Shetta: Changamoto zinatofautiana na huwezi kuziweka za pande zote mbili yaani muziki na familia kwa pamoja ila nikiwa kwenye kazi nakuwa kama msanii nikirudi kwa familia nakuwa mwanafamilia.
KIMATAIFA
Shetta wewe ni msanii mzuri lakini muziki wetu haufiki mbali, wewe unafikiri nini kifanyike ili nasi tuweze kutambulika kimataifa? Nuru, Arusha, 0764952633
Shetta: Mimi ni msanii wa pili au wa tatu kujitangaza Afrika na nyimbo zangu zinapigwa nchi mbalimbali kama Kongo, Nigeria na nchi nyingine nyingi za nje ya Tanzania.
CHANGAMOTO

Shetta ni changamoto gani unazokutana nazo? Meddy, Dar, 0712707010
Shetta: Changamoto kubwa ni kudharauliwa yaani mtu anakudharau na kuona kwamba huwezi kufika sehemu fulani lakini anaona baada ya muda m
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top