Mkurugenzi
Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati
(wapili kushoto) na Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe
(watatu kushoto) wakimsikiliza kwa makini Meneja wa kitengo cha mafuta
cha Kurasini Oil Jet (KOJ), Capt. Mwingamno wakati Dk. Sri Mulyani
Indrawati alipokitembelea kitengo hicho kilichopo ndani ya bandari ya
Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati
(katikati) na mwenyeji wake Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison
Mwakyembe (kushoto) akizungumzia jambo na Meneja wa Bandari ya Dar es
Salaam, Bw. Awadh Massawe wakati alipoitembelea bandari hiyo hivi
karibuni.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Aloyce Matei akimkaribisha Mkurugenzi
Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati
(hayupo pichani) wakati alipoitembelea bandari hiyo hivi karibuni.
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Shirika la DFID nchini Tanzania Bibi Ros Cooper
akizungumza jambo wakati wa ziara ya Mkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu
wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati alipoitembelea bandari ya
Dar es Salaam hivi karibuni.
Katibu
Mkuu, Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaabaan Mwinjaka, Kaimu Mtendaji Mkuu wa
Shirika la DFID nchini Tanzania Bibi Ros Cooper, Afisa Mtendaji Mkuu wa
TradeMark East Africa (TMEA), Bw. Frank Matsaert na Mkurugenzi Mkazi wa
Benki ya Dunia, Bw. Philippe Dongier wakisaini makubaliano maalumu
(MoU) na TPA ya kuendeleza miradi mbalimbali maboresho ya Bandari ya Dar
es Salaam. Makubaliano hayo yalisainiwa mbele ya Mkurugenzi Mkuu na
Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati na Waziri
wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe.
Waziri
wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe akikabidhi zawadi ya kuutangaza
utalii wa Tanzania kwa Mkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya
Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati wakati alipoitembelea Bandari ya Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati
(wapili kulia) na Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe (kulia)
wakimsikiliza kwa makini Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Awadh
Massawe akifafanua jambo wakati Dk. Sri Mulyani Indrawati alipoitembelea
bandari hiyo hivi karibuni.
Mkurugenzi
Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati
(wapili kulia) na Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe (kulia)
wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mashirika ya Kimataifa,
Wizara na TPA.Picha kwa hisani ya: Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya
Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)
Post a Comment