Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza ikulu jijini Dar es Salaam jana
na Jaji Sophia Akkufo Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya
Afrika(AFHPR) aliyemaliza muda wake(picha na Freddy Maro).
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza
muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda
kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam jana.
on Friday, September 12, 2014
Post a Comment