Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA JIJINI MBEYA!


Msanii wa Bongo Fleva, Linex akitoa burudani usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Umati wa mashabiki katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo akifanya yake.Barnaba Boy akifanya makamuzi jukwaani.Mr. Blue akiwapagawisha washabiki jukwaani katika tamasha hilo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top