Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DI MARIA ATWAA TUZO MAN UTD

 


Angel di Maria akiwa na tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Manchester United,.
KIUNGO mshambuliaji wa Manchester United, Angel di Maria ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba klabuni hapo.

Di Maria kazini.
Di Maria ametwaa tuzo hiyo baada ya kupata 68% ya kura zote zilizopigwa kupitia tovuti ya ManUtd.com, huku nafasi ya pili ikienda kwa Ander Herrera aliyepata 23% huku Rafael akiambulia 9% ya kura hizo.
Staa huyo raia wa Argentina amesema anafurahi kuona ameanza vizuri maisha yake ndani ya Manchester United na anamatumaini kuwa anachokifanya uwanjani kinaisaidia timu kupata ushindi na poniti.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top