Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi
mbali mbali kukata utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Maonyesho ya
Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye
Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi
wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo
(SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba
2,2014.
Sehemu ya Wageni kutoka nchi mbali mbali wakifatilia kwa
makini hotuba ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Ufunguzi wa
Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo
(SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba
2,2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine
wakiwa kwenye picha ya pamoja baadhi Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii
Tanzania,ambao ndio waratibu wakuu wa Maonyesho hayo ya Kimataifa ya
Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa
Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014. PICHA NA IKULU
Post a Comment