Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA TENA KILIMANJARO

 


Habari zilizotufikia kutoka Mwanga Mkoani Kilimanjaro zinasema kuna ajali mbaya imetokea maeneo ya Mwanga wakati basi la kampuni ya Mbazi Travellers lililokua likitokea Arusha kuelekea Dar es salaam kupinduka.
Taarifa zinasema ajali hiyo ilitokea baada ya basi hilo kujaribu kulipita basi jingine huku kukiwa hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini inasemekana kuna idadi kubwa ya majeruhi ambao walikimbizwa katika hospitali ya KCMC Moshi.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top