Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

FLAVIANA MATATA AVISHWA PETE YA UCHUMBA !


Mwanamitindo wa kimataifa anayetokea Tanzania, Flaviana Matata ambaye amekuwa akiishi Marekani, kafungua ukurasa  mpya kwenye maisha yake baada ya kuvishwa pete ya Uchumba. 
 
Kwa furaha aliyokua nayo, Flavvy aliipost picha kwenye page yake ya Instagram @FlavianaMatata Nov 16 2014 na kuionyesha hiyo pete na kama vile haitoshi, akaandika maneno ya ‘I said YES‘ ambapo Yes aliiandika kwa herufi kubwa…. yaani ‘Nilikubali au nilisema ndio’
Baada ya kujua kwamba sasa Flaviana Matata kavishwa pete tayari, kingine kinachosubiriwa ni kumjua shemeji.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top