Tunapokuwa na nchi iliyooza, viongozi wa dini wako mstari wa mbele
kuchukua milungula na hela za rushwa zilizojaa damu na mateso ya kodi za
wananchi.Ni aibu mno, sielewi hawa maaskofu wangu wanasimama kwenye
altare kufanya nini...ni kufuru na aibu kwa mimi Mkatoliki na wakatoliki
wote duniani.
Wakati Bunge linafukuza wezi, ni muhimu na Kanisa Katoliki lifukuze
hawa maaskofu walafi na kuwapeleka mahakamani. Kisha kanisa lijivue
ushenzi huu, lirejeshe pesa hizi kwa niaba ya watumishi hawa walafi wa
fedha na mafisadi.
Shame on you beloved bishops, my bishops...
Post a Comment