Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kwanini Diamond ametumia tena wazungu kwenye video mpya ‘Ntampata wapi’



Baada ya Diamond kuachia video ya ‘Ntampata wapi’ iliyofanyika Afrika Kusini, amekutana tena na maswali aliyokutana nayo kipindi alipoachia video ya ‘Mdogo mdogo’, ya kwanini amewatumia zaidi wazungu kwenye video ya wimbo wake wenye ladha ya Kiafrika.

Hili ndio jibu la Platnumz baada ya kuulizwa swali hilo kwenye kipindi cha Power Jamz kupitia East Africa Radio:
“Kuna kitu kimoja, waache ubaguzi inategemea na script ya nyimbo inavyozungumza, script inataka kitu gani, script yangu ya mdogo mdogo ilikuwa inazungumza kwamba mapenzi hayachagui, ndio maana kulikuwa na familia ya kizungu mimi familia ya kiafrika, mimi namtaka demu wa kizungu lakini wazazi wake hawataki, kwahiyo ndo maana mwisho tukaandika mapenzi hayachagui”.
“Na naamini hicho kitu ndo kilisababisha kufanya hata Marekani ikashinda tuzo, video ya Aye haikushinda ikashinda video ya Mdogo mdogo kama video ya Afrika kwasbaabu concept yenyewe ilikuwa inazungumza vizuri, wazungu wenyewe wameona kama aah hii kweli lakini tuache maswala ya kibaguzi”.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top