Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akimkabidhi tunzo ya Msanii bora katika masuala ya kijamii (HUMANITARIAN
AWARD) Bw. Patrick Kungalo kwa niaba ya Fr. Canute Mzuanda kwenye hafla
fupi iliyofanyika leo Novemba 13,2014 Ikulu Dar es salaam. Makamu wa
Rais alikutana na jopo la waandaaji wa siku ya Msanii, Kampuni ya Haak
Neel Production, Baraza la Sanaa la Taifa na Wizara ya Habari, Vijana
Michezo na Utamaduni na kutoa zawadi ya fedha shilingi milioni kumi
ambazo aliahidi siku kilele cha siku ya Msanii Tanzania iliyofanyika
katika ukumbi wa Mlimani City Oktoba 25,2014
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati
akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tunzo ya msanii bora na
Viongozi wa Wizara ya Habari baada ya kukabidhi tunzo hizo katika hafla
fupi iliyofanyika leo Novemba 13,2014 Ikulu Dar es salaam.
(Picha na OMR)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati
akiwa katika picha pamoja na washindi wa tunzo ya msanii bora baada ya
kuwakabidhi tunzo hizo kwenye hafla fupi iliyofanyika leo Novemba
13,2014 Ikulu Dar es salaam.


Post a Comment