Makamu wa Rais na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia) na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida wakiingia ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya mkutano. (Imeandaliwa na www. habari za jamii.com)
viongozi mbalimbali wa chama hicho kuanzia ngazi ya chini wakiwemo wajumbe wa Halmashauri Kuu za Wilaya na Mkoa wakimkaribisha mgeni rasmi wa mkutano huo, Makamu wa Rais Dk.Mohamed Garib Bilal (hayupo pichani)
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba "Gadafi" akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais Dk. Bilal.
Makamu wa Rais ambaye pia ni mlezi wa Chama Cha Mpinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Dk. Mohamed Gharib Bilal (katikati), akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam leo, kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu 2015. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida.
Viongozi mbalimbali wa CCM wakiwa kwenye mkutano huo.
Diwani wa Kata ya Kipawa, Bonah Kaluwa (katikati), akifurahia jambo na viongozi wenzake katika mkutano huo.
Viongozi mbalimbali wa CCM wakiwa kwenye mkutano huo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Wanaccm wakiwa wamefurika ukumbi wa Karimjee
katika mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Wanaccm wakiwa katika mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Novemba 15, 2014 kwa ajili ya kuzungumzia juu ya suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuzungumzia suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. Picha na OMR
Baadhi ya wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakishangilia wakati Mlezi wa CCM mkoa wao Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akizungumza nao leo. Picha na OMR
**********

.jpg)
.jpg)
.jpg)

Post a Comment