Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MSICHANA AOKOTWA AKIWA TABANI KATIKA UCHOCHOLO WA BAR YA GALAX MJINI KAHAMA


Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitambuhi 
Baadhi ya wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu  huku akiwa katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika mjini kahama. 

Askari  polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtabua msichana huyo  na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha polisi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top