Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA!


Denis Mtima na Gabriel Ng’osha

LILE sakata la mtoto wa miezi 6 (pichani) kufia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar linaendelea! Safari hii, mama wa mtoto huyo, Meradi Meshack ameibua mazito akiwataja polisi jamii kuwa ndiyo chanzo cha kifo cha mwanaye.
Mtoto Thomas wa miezi 6 aliyefia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar enzi za uhai wake.
Awali ilibainika kuwa, mtoto huyo aliyefariki dunia Novemba 18, mwaka huu wakati mama yake akiwa amewekwa kituoni hapo kama mhalifu, polisi wa kituo hicho walitajwa kuhusika.
Akizungumza na waandishi wetu, mama huyo alisema yeye na mtuhumiwa wake aliyemtaja kwa jina la mama Na walikuwa wakidaiana fedha za upatu ambazo alikuwa akimdanganya kuwa wanachama wenzake bado hawajatoa.
Mama wa mtoto huyo akilia kwa uchungu msibani.

Baada ya usumbufu wa muda mrefu ndipo wakapishana maneno, mwanamke huyo akampeleka polisi akidai alitaka kumpiga
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top