Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe
(kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii
ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila,
wakati Jaji huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini
Dar es Salaam leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala
wa Kifungo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe
(katikati) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii
ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila
(kulia), wakati Jaji huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake
jijini Dar es Salaam leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala
wa Kifungo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Jamii, Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Fidelis Mboya.
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia
ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kulia) akimfafanulia
jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Jaji
huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam
leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO
YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Post a Comment