Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MZEE WA MIAKA 75 AMPA MIMBA BINTI WA MIAKA 13


Matukio ya mimba za utotoni yamekuwa yakijitokeza kila kukicha yakiwa na sura tofauti, mengi yametajwa kuharibu maisha na kupoteza ndoto za wasichana wengi.

Kutoka Nigeria Mzee mwenye umri wa miaka 75 anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi mwenye umri wa miaka 13.Mzee huyo Pa Alabi ambaye ni fundi seremala aliombwa na binti huyo kumtengenezea kiboksi cha kuhifadhia pesa zake, baada ya kumpa kiboksi hicho akaanza kumtongoza na kujenga ukaribu nae hadi binti akakubali. 

“..Siku yenyewe nilimwelezea hisia zangu na akaahidi kulifikiria suala hilo na baadae akakubali, tulikutana kimwili pale nilipomuomba na tulikuwa tukiheshimiana, ghafla akaacha kuja kwangu baada ya siku tano baada ya ile siku ya kwanza tulipokutana kimwili. Siku moja akaja na kuniambia Bibi yake alimwambia ni mjamzito ndipo alipoacha kuja kwangu na sikumuona tena hadi Polisi walipokuja kunikamata.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top