Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akizugumza na Mbunge wa Viti Maalum Rachel
Mashishanga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo Novemba 26, 2014.
Mwenyekiti
wa Bunge, Mh. Mussa Azan Zungu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka
kwenye ukumbi wa Bunge wakati alipositisha kikao cha Bunge cha asubuhi
leo Novemba 26, 2014.
Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Urambo, Mh. Samuel
Sitta (katikati) akizungumza na baadhi ya wabunge wa Upinzani, Bungeni
mjini Dodoma leo Novemba 26, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment