Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma jana waliouitisha ili kuzungumza naye masuala kadhaa ya maendeleo.
Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma jana waliouitisha ili kuzungumza naye masuala kadhaa ya maendeleo.
Viongozi wakisimama kuimba  Wimbo wa Taifa
 Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma jana waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
  Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma jana waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na  wazee wa mji wa Dodoma jana waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma jana Novemna 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete mjini Dodoma jana waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya RaisJakaya Mrisho Kikwete na  wazee wa mji wa Dodoma jana waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top