UTEUZI WA MKUU MPYA WA IDARA YA HAMASA  UVCCM
Mwenyekiti wa UVCCM, amemteua hapo juu Cathibert Mrema kuwa Mkuu wa Idara ya Hamasa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Uteuzi huo wa Cathibert Mrema ni wa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 10 Novemba, 2014.
Kutokana na uteuzi huo Mkuu wa Idara ya Hamasa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) amemteua Mhandisi Mukhsin R Murshid kuwa Katibu mpya wa IDARA YA HAMASA  UVCCM kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 10 Novemba 2014.
Picha kutoka kushoto ni Mkuu mpya wa Idara hiyo na Katibu wake kulia.
561324 56143

Mkuu wa Idara anapatikana kwa nambari 0764053725 (kuanzia saa 7:30 hadi 05:00 usiku kwa ajili wa huduma za chama.
Katibu anapatikana 0714281313 muda wowote