Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Hii ni Good news kutoka kwa Ay, Shaa, Fid Q na Sauti Soul Mwaka 2015


.
.
Wakali kutokea Tanzania, Fareed Kubanda aka Fid Q, Shaa pamoja na A.Y wakiwa bado wapo nchini Kenya wameingia studio  na kundi la Sauti sol kurekodi single mpya.

Kupitia kwenye Instagram, Sauti Sol wamepost dakika chache zilizopita na kuandika; “Last night we were part of something phenomenon.It was great working with true artists lyrical geniuses. @aytanzania @shaa_tz @bienaimesol @fancy_fingers @iamchimano“– @
.
Sauti Sol, Ay, Shaa na Fid Q.
Sauti Sol ni wakali kutoka Kenya, moja ya hit zao zinazofanya vizuri kwa sasa ni wimbo wa Sura Yako.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top