Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu
wakati alipotembelea eneo la Buguruni kwa Mnyamani leo Machi 23, 2015
kwa ajili ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na mafuriko ya mvua
zinazoendele kunyesha jijini Dar es Salaam.
Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipata maelezo juu ya hatua zilizokwishachukuliwa na Serikali, kutoka
kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, wakati Makamu alipotembelea
eneo la Buguruni Kwa Mnyamani lililoathirika na mafuriko yaliyotokana na
mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiondoka eneo hilo baada ya kujionea athari zilizotokana na mafuriko
hayo kwa wakati wa Buguruni kwa Mnyamani jijini Dar es Salaam, leo machi
23,
Post a Comment