Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DIAMOND NA MPENZI WAKE ZARI WAGOMA KUTAJA JINSIA YA MTOTO WAO MTARAJIWA..ETI HOFU NI NANIII

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa wafitini.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Diamond anayetarajia kupata mtoto kwa mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’, alisema anamshukuru Mungu hadi sasa tayari anaijua jinsi ya mwanaye lakini hayupo tayari kuitaja.“Tayari baby ameshapima na kujua jinsi ya mtoto lakini siwezi kuitaja kwa sasa maana wabaya nao ni wengi sana mjini hapa,” alisema Diamond.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top