Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika
swala ya Magharibi iliyoswaliwa katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni
jana wakati wa futari iliyotayarishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa kaskazini
Unguja,[Picha na Ikulu.]
Wananchi
na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
wakiitikia dua Iliyoombwa baada ya Swala ya Magharibi wakati
walipoalikwa katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika
viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akiwana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja katika futari
ya pamoja nao alipowaalika katika viwanja vya
Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
Akinamama
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika Futari iliyotayarishwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,[Picha na
Ikulu.]
Mke
wa Rais wa Zanzibar na Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiwa na
Viongozi katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa Wananchi wa Mkoa
wa Kaskazini Unguja katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (kulia) akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja baada ya futari
aliyowaalika katika viwanja vya
Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
Mke
wa Rais wa Zanzibar na Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na
Akina mama na Viongozi Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya futari
iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni
jana,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibadilishana mawazo na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Haji
Omar Kheir (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Juma Kassim Tindwa
(wa Pili kulia) na Msahuri wa Rais Uwezeshaji Kiuchumi Abrahman Mwinyi
Jumbe baada ya futari aliyowaalika Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
Loading...
Post a Comment