Katibu wa taswa mkoa wa Arusha Akizungumza na waandishi wa habari
kuhusiana na tamasha la waandishi Agosti 29 uwanja wa kheikh Amri abeid
mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Arusha, Filex Ntibenda, kati kati
mwenyekiti wa taswa mkoa Arusha, Jamila omar, Meneja matukio ya kampuni
ya bia nchini TBL Chris Sarakana ambao wadhamini wakuu, na makamu
mwenyekiti wa taswa Arusha, Andrea Ngobole
.Mkuu wa
mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika
tamasha la 10 la vyombo vya habari vya mkoa wa Arusha. ambalo
litafanyika Agosti 29 katika uwanja wa sheikh Amri Abeid.
Akizungumzia
tamasha hilo, Afisa matukio ya TBL Arusha, Chris Sarakana aliwataka
wanahabari na wakazi wa mkoa wa Arusha kujitokeza na kuahidi TBL
itaendelea kushirikiana na wanahabari.




Post a Comment