Mwenyekiti wa
Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai (katikati) akiongea na
waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa
salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la
Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli
Bwawani Zanzibar hadi tarehe nyingine itakapotangazwa
tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP)
Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea jana tarehe 04 Octoba, 2015 asubuhi
kwa ajali ya gari. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty
Nyahoza na kushoto ni Rais wa ADA-TADEA na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na
Siasa.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini
Sisty Nyahoza (wa pili kulia) akimkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya
Siasa nchini Peter Kuga Mzirai (wa pili kushoto) kuongea na waandishi wa habari
(hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa salamu za rambirambi
na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa
kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli Bwawani
Zanzibar hadi tarehe nyingine itakapotangazwa
tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP)
Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea jana tarehe 04 Octoba, 2015 asubuhi
kwa ajali ya gari. Wa kwanza kushoto ni Rais wa ADA-TADEA na Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge na Siasa na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini Monica Lawrence.
Baadhi wa waandishi
wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati wa mkutano na Mwenyekiti wa Baraza
la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai leo jijini Dar es salaam alipokuwa
akitoa salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha
Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika
Hoteli Bwawani Zanzibar hadi tarehe
nyingine itakapotangazwa tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa
Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea jana tarehe 04
Octoba, 2015 asubuhi kwa ajali ya gari.
(Picha na Eleuteri
Mangi-MAELEZO)
Post a Comment