Hii
ishara inaonesha kuwa hautakiwi kunywa pombe .. sasa huyu jamaa anapata
shida sana akitaka kunywa maji au chakula maana anatafuta kanafasi
kadogo ili kufanya hivyo.
Ni
alama ya tahadhali hii ni moja ya mamia ya watu ambao hawali nyama huko
Thailand , huyu anaamini kwa kujiweka mapaga makali na kujichoma hivi
itasaidia watu kuacha maovu kabisa na kuwapa amani mioyoni mwao
Post a Comment