Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo
vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
(Picha na Ikulu)
(Picha na Ikulu)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak kufuatia vifo vya Watu
zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Balozi wa Ufaransa nchini Malika Berak Tanzania mara baada ya
kusaini Kitabu cha Maombolezo na kutoa salamu za pole kwa Rais wa
Ufaransa Mheshimiwa Francois Hollande kufuatia vifo vifo vya Watu zaidi
130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wa pili
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa (kushoto) pamoja na
Maofisa mbalimbali wa Ubalozi huo mara baada ya kutia saini kitabu cha
maombolezo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak mara baada ya kusaini
kitabu cha Maombolezo Ubalozini hapo
Post a Comment