Katibu
Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, akizungumza wakati wa
Bonanza maalum la kumuaga Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, liliandaliwa na timu ya timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais (V.P.O
Sports Club) lililofanyika kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete, uliopo
Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam jana Nov 28, 205. Katika Bonanza
hilo lililoshirikisha jumla ya timu Nne za VPO Sports Club, Wizara ya
Mambo ya Nje, Kamati ya Amani waliochanganyika na Mabalozi na Amana Bank
waliochanganyika na Zanzibar Fc, Timu ya VPO Sports Club iliibuka na
ushindi kwa kuwafunga Mambo ya nje kwa jumla ya mikwaju ya penati 5-4 na
kutwaa kombe la Bonanza hilo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya VPO Sports Club,
Nehemia Mandia, baada ya kuibuka na ushindi katika Bonanza maalum la
kumuaga Dkt. Bilal, lililofanyika jana Nov 28, 2015 kwenye Uwanja wa
Jakaya Kikwete uliopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. VPO
waliibuka kidedea baada ya kuwafunga timu ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa
mikwaju ya penati 5-4.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kushiriki Nahodha wa timu ya Kamati
ya Amani Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum, katika Bonanza maalum la
kumuaga Dkt. Bilal, lililofanyika jana Nov 28, 2015 kwenye Uwanja wa
Jakaya Kikwete uliopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. VPO
waliibuka kidedea baada ya kuwafunga timu ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa
mikwaju ya penati 5-4.
Nahodha
wa timu ya VPO Sports Club, Muhidin Sufiani, akimtoka beki wa timu ya
Kamati ya Amani, Mhungaji Amos Nene, wakati wa Bonanza maalum la kumuaga
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, lililofanyika
kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete,uliopo Kidongo Chekundu jijini Dar es
Salaam jana Nov 28, 2015. Katika Mchezo huo VPO walishinda kwa bao 1-0
na kutinga fainali na Timu ya Mambo ya Nje ambapo pia waliibuka kidedea
kwa mikwaju ya penati 5-4 baada ya mchezo kumalizika bila kufungana
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kushiriki Nahodha wa timu ya Mambo
ya Nje, Christopher Mwitula, katika Bonanza maalum la kumuaga Dkt.
Bilal, lililofanyika jana Nov 28, 2015 kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete
uliopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. VPO waliibuka kidedea
baada ya kuwafunga timu ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa mikwaju ya penati
5-4.
Nahodha
wa timu ya Kamati ya Amani Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum,
akimiliki mpira mbele ya beko wa VPO Sports Club, Kibiti wakati wa
Bonanza maalum la kumuaga Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, lililofanyika kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete,uliopo Kidongo
Chekundu jijini Dar es Salaam jana Nov 28, 2015. Katika Mchezo huo VPO
walishinda kwa bao 1-0 na kutinga fainali na Timu ya Mambo ya Nje ambapo
pia waliibuka kidedea kwa mikwaju ya penati 5-4 baada ya mchezo
kumalizika bila kufungana.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamuuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizungumza na wanamichezo baada ya kumalizika Bonanza la
kumuaga, lililofanyika kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete,uliopo Kidongo
Chekundu jijini Dar es Salaam jana
Mchezaji
wa VPO Sports Club, Nehemia Mandia, akimtoka beki wa timu ya Kamati ya
Amani, Mhungaji Amos Nene, wakati wa Bonanza maalum la kumuaga Makamu wa
Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, lililofanyika kwenye Uwanja
wa Jakaya Kikwete,uliopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam jana Nov
28, 2015. Katika Mchezo huo VPO walishinda kwa bao 1-0 na kutinga
fainali na Timu ya Mambo ya Nje ambapo pia waliibuka kidedea kwa mikwaju
ya penati 5-4 baada ya mchezo kumalizika bila kufungana.
Dkt. Bilal akisalimiana na wachezaji wa Timu ya VPO Sports Club labla ya kuanza kwa mchezo huo.
Dkt. Bilal akisalimiana na wachezaji wa Kamati ya Amani kabla ya kuanza kwa mchezo huo
Mchezaji
wa Amana Bank akimjaribu kumiliki mpira huku akizongwa na beki wa Mambo
ya Nje. Katika mchezo huo Mambo ya Nje walishinda mabao 2-1
Mgeni rasmi akifuatilia mchezo uliokuwa ukiendelea uwanjani hapo

Post a Comment