Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWSS ... MV. KIGAMBONI YAZIMA GHAFLA NA KUNUSURIKA KUZAMA ... ABIRIA WAHAHA KUJIOKOA

Baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv  Kigamboni wakiwa wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda kukatika sehemu ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa miongoni mwao,kama uonavyo pichani baadhi ya abiria hao wakijaribu kujinusuru na hali hiyo,kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria lukuki
 Abiria wakipewa maelekezo namna ya kushuka kwenye kivuko hicho.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top