
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi vigogo wa nne wa bohari ya dawa MSD kanda ya Dar es Salaam kwa upotevu wa fedha kiasi cha shilingi Bilioni 1.5.Vigogo wa nne wa Bohari ya dawa MSD Waliosimamishwa kazi ni pamoja na Mkurugenzi wa kanda huduma kwa wateja Cosmas Mwaifwani.


Post a Comment