Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HIZI HAPA DAKIKA 53 ZA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIONGEA NA WAZEE AMBAYO NI GUMZO KILA KONA

Feb 13 2016 Rais John Pombe Magufuli alikutana na Wazee wa Dar na kulihutubia Taifa katika ukumbi wa Diamond Jubilee, hapo hapo akachukua time yake kuyawasilisha ya moyoni.
Baadhi ya aliyozungumza ni pamoja na ‘Nataka mjue kuwa ni watu wachache sana ambao wametufikisha hapa, tutawashughulikia kwa faida yenu ‘
Hili la utajiri pia limemgusa ‘Kuna watu kwao pesa siyo tatizo, na bahati mbaya pesa zenyewe hawajazipata kwa njia halali
Vipi kuhusu siku zake 100 za uongozi? ‘Inawezekana mnatupima sisi katika siku 100, lakini na ninyi mnasahau mmefanya nini kwa siku 100
Unaweza kuisikiliza hotuba yote hapa chini..


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top