Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ISHA MASHAUZI APATA PIGO KALI

Mwimbaji na Kiongozi wa Kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhani alimaarufu kama 'Isha Mashauzi' amepata pigo baada ya kumpoteza baba yake mzazi.

Mzee Ramadhan Makongo ambaye pia ni baba wa mwimbaji Saida Ramadhan na Aisha Ramadhani, alifariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Baadhi ya mashabiki na wadau wa muziki wa taarabu wamewapa pole wafiwa wote huku wakiwataka kuwa na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwao baada ya kumpoteza mzazi wao.

Said Mtoni: Allah ampumzshe mahala pema mzee Ramadhani magongo.poleni Isha na nduguzo na mola awape mioyo uvumilivu wakat huu mgumu.

Sada Marembeka: Pole sana dada Isha Ramadhani sote niwaja wa Allah tumuombe baba yetu dua Ishaallah mwenyzi Mungu amsamehe na dhambi na adhabu ya kabri.Innalilah wainnlilah rajiun.

Hassan Mavindi: Pole sana Isha, hiyo ni mipango ya Mungu, kikubwa kwako ni kumshukuru kufika umri wa kujua na kuelewa, wakati unafuta machozi ya simanzi nasi tuna kusaidia kumfariji mtoto huyu ambaye hajui afanyeje.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top