Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JACK WOLPER AAMBULIA MATUSI MTANDAONI

Jack Wolper amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupost mtandaoni picha ya maiti ya Marehemu Kaloosh ikiwa katika jeneza...Baada ya tukio hilo watu mbali mbali walianza kumkosoa na wengine kumrushia matusi kwenye page yake kwa kusema sio sahihi kipost picha kama hizo..


Mwenyewe leo amefunguka kama ifuataavyo:

"Jamani insta NAOMBENI muwe na mipaka kwanza mnatakiwa mjue hii ni acc yangu sishei na mtu yoyote..pili nimekosea nimewaelewa kwann mnitukane jamani wakati nilielewa sikilizeni mm ni dada na ni mchumba wa mtu na vilevile sio bora dada ni dada bora naheshimika kwangu mpk kwetu sawa kwahiyo mnapoandika matusi YENU wadogo zangu wanaumia mbali na mm naombeni sana Mkome na msinizoee kunitukana kwasababu naumia na mnawaumiza ndugu zangu na wengine ambao wamenifollow sitaki sitaki huwezi kunishauri mpk unitikane unfollow sina nguvu ya superglue kusema nimewagandisha tafadhari...sipendi nasema tena sipendi mbona mm siwafati kwenye acc zenu kuwatukana from no where jamani MNIACHE plz" Jack Wolper
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top