Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mwenyekiti wa CCM Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akiendelea kukagua shughuli mbalimbali kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya ccm mkoani Singida

 

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipiga picha na mke wake Mama Salma Kikwete, leo, mbele ya nyumba alimoishi mjiini Singida mwaka 1975, wakati huo akiwa katibu Msaidizi wa  TANU  wilaya ya Singida mjini. Kikwete yupo mkoani Singida kwa ajili ya kuongoza Maadhimisho ya Miaka 39 ya CCM, ambayo kilele chake kitaifa ni leo. (Picha na Bashir Nkoromo).
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Singida leo, alipotembelea Ofisi hiyo, akiwa mkoani humo kwa ajili ya kuongoza Maadhimisho ya Miaka 39 ya CCM, ambayo kilele chake kitaifa ni leo. Kushoto ni Mama Salma Kikwete, na wengine ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Mbunge wa Mtama Nape NNauye na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Singida Mary Maziku
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top