Rais Magufuli amewataka mawaziri 4 na naibu waziri mmoja kujaza na kuwasilisha fomu ya tamko la mali zao Sekritarieti ya Maadili kabla ya saa 12 jioni ya leo vinginevyo watakuwa wamejifuta kazi.
Akiongea na waandishi wa habari leo, Waziri Mkuu Majaliwa amewataja mawaziri hao kuwa ni Charles Kitwanga, January Makamba, Augustine Mahiga na Joyce Ndalichako. Naibu Waziri ni Luhaga Mpina.
==> Tazama video hii kumsikiliza Waziri mkuu akuongea.



Post a Comment